Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

PICHA 8 ZA JUMBA LA KIFAHARI LA RAHEEM STERLING BAADA YA KUHAMA LIVERPOOL

Friday, 21 August 2015

Share this history on :
6594a8107584dd7da3293cc8b47e74ec_original
Raheem ameamua kuhama moja kwa moja kutoka Liverpool na kuhamia Manchester baada ya kuhamia kwenye club hiyo. Sterling ameweka sokoni jumba lake la kifahari lenye thamani ya pount 1.5m maarufu kwa jina la Merseyside Mansion.

Nyumba hiyo ambayo ni kama wanayoishia mastaa wa muziki wa Marekani inavitu mbalimbali ya kifahari. Pia ndani ya hiyo nyumba kuna Spa,Gym,Cinema Room,Uwanja wa basketball,Out door pool, Indoor pool na garden kubwa.
Hizi hapa ni picha 8 za jumba ambalo anauza.
0efcee9e0347fda04916b2b623a7651c_original
381bc4aeea1c2e2c178d8c96fbde6ec0_original
66524d9a2186177043dcb1fcd895c543_original
531450be267a2f3e33c13782ed972789_original
c4eaba5563eda458f7b79115cc949f21_original
c6a85d59dafb9770fd9906a4104ba84f_crop_north
d793e961fe62655e8591989695015fbc_original
Thank you for visited me, Have a question ? Contact on : youremail@gmail.com.
Please leave your comment below. Thank you and hope you enjoyed...

0 comments:

Post a Comment