Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

SADIO MANE HANA MPANGO WA KUHAMIA MANCHESTER UNITED

Monday, 24 August 2015

Share this history on :
sadio

Ukizungumzia uhamisho kwa Manchester united hivi sasa jina linalotajwa sana Sadio Mane kutoka Southampton. Mchezaji huyu mwenye miaka 23 anapigiwa upatu wa kuhamia Old Trafford kwa gharama ya £15million.

Taarifa zinasema kwamba Manchester united walipotezea harakati za kumpata Pedro na kuhamia kwa Sadio kwa sababu ana umri mdogo na pia bei yake ni nzuri.
Manager wa Southampton alisema hivi “Sadio anataka kubaki hapa na anaonyesha hivyo kila siku, sio tu anaonyesha bali anapenda kukaa hapa.Hana mpango wa kuhama hapa kwenda kokote. Anajua kwamba hakuna dau lolote lilitolewa kwa ajili yake, wakala wake anajua hilo. club inajua hilo naamini kila mtu anajua hivyo.”
Thank you for visited me, Have a question ? Contact on : youremail@gmail.com.
Please leave your comment below. Thank you and hope you enjoyed...

0 comments:

Post a Comment