Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

SADIO MANE HANA MPANGO WA KUHAMIA MANCHESTER UNITED

Monday, 24 August 2015

sadio

Ukizungumzia uhamisho kwa Manchester united hivi sasa jina linalotajwa sana Sadio Mane kutoka Southampton. Mchezaji huyu mwenye miaka 23 anapigiwa upatu wa kuhamia Old Trafford kwa gharama ya £15million.

MOURINHO AIPOTEZEA KADI NYEKUNDU YA TERRY

John-Terry
Jose Mourinho hakukubalina na maamuzi ya mwamuzi kumtoa nje kwa kadi nyekundu mlinzi na nahodha wa Chelsea John Terry kwenye mechi ya jana wakati Chelsea ilipocheza dhidi ya West Brom mchezo wa ligi kuu England, lakini Mourinho amesema kukata rufaa ni kupoteza muda.

PICHA 8 ZA JUMBA LA KIFAHARI LA RAHEEM STERLING BAADA YA KUHAMA LIVERPOOL

Friday, 21 August 2015

6594a8107584dd7da3293cc8b47e74ec_original
Raheem ameamua kuhama moja kwa moja kutoka Liverpool na kuhamia Manchester baada ya kuhamia kwenye club hiyo. Sterling ameweka sokoni jumba lake la kifahari lenye thamani ya pount 1.5m maarufu kwa jina la Merseyside Mansion.

SIRI YAFICHUKA: DAKTARI WA CHELSEA ALILALA NA MCHEZAJI.

DRDR
Baada ya wiki ngumu Stamford Bridge, Chelsea wakianza vibaya huku pia Jose Mourinho akimuondoa katika benchi, daktari Eva Carneiro kwa madai ya kupoteza muda kwa kumtibia Eden Hazard, sasa Ex-boyfriend wa daktari huyo amefunguka na kusema yaliyojiri.

KAMA KILICHOTOKEA WA PEDRO NA MAN UTD…HAWA NI WACHEZAJI 11 WALIDAKWA DAKIKA ZA MWISHO NA TIMU PINZANI

cover
Baada ya dili la Pedro kusajiliwa na Manchester kuharibiwa na Chelsea, imefanya nikumbuke jinsi gani hiki kitendo kuwa ni cha kawaida sana kwenye harakati za usajili hasa muda wa mwishoni kama huu.

HII NDIO SABABU KUBWA YA KASEJA KUCHAGUA KUJIUNGA NA MBEYA CITY…

kaseja
Bada ya mlinda mlango wa zamani wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Juma Kaseja kusaini mkataba wa miezi sita kujiunga na timu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya, kipa huyo mkongwe ameweka wazi ni kwanini amejiunga na timu hiyo ya wagonga nyungo wa jiji la Mbeya wakati kulikuwa na vilabu vingi vikiiwinda saini yake.

CHELSEA YAIPIGA TOBO MANCHESTER…PEDRO KUSAINI NA CHELSEA MUDA WOWOTE

2B46703200000578-3203285-image-a-11_1439982383807
Katika kile kilichotafsiriwa kama ni Van Gaal kupigwa tobo na Jose Mourihno katika harakati za kumsajili Pedro, imekua ni habari ya kushtukiza sana kwa mashabiki wa Manchester