Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

Ratiba ya robo fainali Ligi ya mabingwa UEFA tayari iko mezani..

Friday, 20 March 2015

Share this history on :

droo

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika katika mji wa Nyon, Switzerland.

Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain ama ‘PSG‘ ambayo iliwawekea ngumu na kuwaondoa Chelsea kwenye michuano hiyo.
fifaaaaFC Porto watakutana na Bayern Munich nao Juventus wakiwa na kibarua kikali dhidi ya AS Monaco ya Ufaransa iliyoiondoa Arsenal.
Hapa unaweza cheki mpangilio huo mtu wangu.
PSG Vs Barcelona
Atletico Madrid Vs Real Madrid
FC Porto Vs Bayern Munich
Juventus Vs AS Monaco
Thank you for visited me, Have a question ? Contact on : youremail@gmail.com.
Please leave your comment below. Thank you and hope you enjoyed...

0 comments:

Post a Comment