Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

List ya wachezaji ambao Man City iko mbioni kuwaondoa kwenye kikosi cha timu hiyo

Thursday, 19 March 2015

Share this history on :

yaya

Kipigo cha Manchester City dhidi ya Barcelona  cha bao 1-0 huenda kimekuwa moja ya sababu ya kocha mkuu wa timu hiyo Manuel Pellegrini kuamua kuwaondoa katika orodha yake baadhi ya wachezaji wa kikosi chake akiwemo Yaya Toure.

Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza wamepanga kuwauza baadhi ya nyota wake msimu huu akiwemo Yaya ToureGale ClichyPablo Zabaleta,  Jesus Navas,FernandinhoSteven Jovetic na Edin Dzeko.
Man City ilishindwa kutinga hatua ya robo fainali dhidi ya Barcelona katika mechi ya kombe la klabu bingwa Ulaya na kocha wake amethibitisha kwamba mabadiliko makubwa yatafanyika ndani ya klabu hiyo.
Thank you for visited me, Have a question ? Contact on : youremail@gmail.com.
Please leave your comment below. Thank you and hope you enjoyed...

0 comments:

Post a Comment