Sporty Magazine official website | Members area : Register | Sign in

Nastasic akamilisha rasmi usaili wake na Schalke

Thursday, 12 March 2015

Share this history on :
1426075961501Na Amplifaya Amplifaya
Kilabu ya Schalke toka ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga imefanikiwa kumsajili rasmi Matija Nastasic baada ya kukaa naye kwa muda kidogo ndani ya timu hiyo.

Matija Nastasic (21) ambaye alikuwa kwa mkopo katika kilabi hiyo akitokea kwa miamba wa soka nchini England Manchester City amemua kubakia katika ligi hiyo baada ya kusaini mkataba ambao utamuwezesha kukaa mpaka mwaka 2019.
“Najiona mwenye furaha zaidi kubaki hapa, nimekuwa sehemu ya timu pia” Alisema
Thank you for visited me, Have a question ? Contact on : youremail@gmail.com.
Please leave your comment below. Thank you and hope you enjoyed...

0 comments:

Post a Comment