Barcelona yasaka saini ya Mrithi wa Messi kutoka Kenya, Ni kinda wa miaka 17
Thursday, 26 February 2015
Labels:
KIMATAIFA
Barcelona yamuenzi Tito Vilanova
Saturday, 21 February 2015
Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania leo imebadili jina la uwanja wake wa mazoezi na kuupa jina la kocha wa zamani wa klabu hiyo Tito Vilanova aliyefariki Aprili mwaka jana kwa ugonjwa wa kansa ya koo.
Labels:
KIMATAIFA
Angalia mashabiki wa Fayernood walivyomwaga damu
Huyu ni moja kati ya mashabiki wa Fayernoord akivujwa na damu nyingi kichwani mara baada ya kupigwa na polisi huko Rome Italy kufuatia na vurugu kubwa kabla ya mchezo wao na wenyeji Rome
Labels:
KIMATAIFA
Steven Gerrard amuonya Ballotel kuwa hakuonesha heshima,Balotelli ajibu mapigo ya Gerrard
Friday, 20 February 2015
BALOTELLI AJIBU MAPIGO YA GERRARD
Bao pekee la mshambuliai mtukutu Mario Ballotel liliisaidia timu yake kuweza kuibuka na ushindi wa goli hilo moja dhidi ya wageni wao Besikitas katika round ya kwanza ya 32 bora Europa League, bao hilo lilipatikana mnamo dakika ya 85 kipindi cha pili kwa njia ya Penalt.
Labels:
KIMATAIFA
Rekodi 8 kubwa alizoweka Cristiano Ronaldo kwenye Champions League usiku wa jana
Real Madrid waliingiza mguu mmoja kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya jana usiku baada ya kupata ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Schalke 04 mjini Gelsenkirchen.
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Comments (Atom)