Mara nyingi mastaa mbalimbali wamekuwa wakiishi maisha ya kuwafanya waonekana vyema mbele ya mashabiki wao na hata wengine kuishi maisha ambayo si yao ili mradi wawe kivutio kwa mashabiki wao.
Mechi huwa na fleva ya aina yake wanapokutana Barcelona na Real Madrid, majina ya mastaa waliopo kwenye timu zote mbili huwa ni kivutio tosha kufanya mashabiki wa mpira kuufurahia mchezo.. Cristiano Ronaldo VS Lionel Messi.
Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika katika mji wa Nyon, Switzerland.
Kipigo cha Manchester City dhidi ya Barcelona cha bao 1-0 huenda kimekuwa moja ya sababu ya kocha mkuu wa timu hiyo Manuel Pellegrini kuamua kuwaondoa katika orodha yake baadhi ya wachezaji wa kikosi chake akiwemo Yaya Toure.
Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na wakala wa mchezaji Christiano Ronaldo anayeichezea Madridkwa lengo la kumrudisha katika klabu yake hiyo ya zamani ya Old Trafford.
Kilabu ya Schalke toka ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga imefanikiwa kumsajili rasmi Matija Nastasic baada ya kukaa naye kwa muda kidogo ndani ya timu hiyo.
Baada ya Lukas Podolski kushindwa kuonesha makali yake katika klabu ya Intermilan huko nchini Italia,mshambuliaji huyo amesema anataka kurejea katika klabu ya Arsenal ili aweze kuonesha uwezo wake baada ya hapo mwanzo kushindwa kung’ara.
You might also like : –Facebook Page by clicking LIKE on the windows box that appear on your screen
after doing that you have to click on the cross found on the right hand corner of the box appered, then your done
enjoy news on the blog but remember you have to like once if the box appear again click on the cross on the rigt corner directly